Katika Mkutano wa Kijiji Ulio Fanyika Wiki Iliyo Pita;Wana Mlowo wali kubaliana kuwa ifikapo Kesho(Ili kuwa jumapili) ya Juma lililo pita,Uchafu Uliopo kwenye Soko la Mji wa Mlowo na Maeneo mengine Utakuwa Umesha Zolewa...!
Hadi Siku ya Jumatatu Usafi Ulikuwa bado upo unazidi kulundikwa tu! Cha Kusikitisha zaidi Hadi leo nimepita pale nika kutana na lundo la Uchafu Likiendelea kujazwa! Bwana Afya wa mji mdogo wa Mlowo alipo ulizwa kuhusu hali ya uchafu katika Soko kuu alionekana kuwa tupi Lawama Wengine kwa kusema "hawa leti Gari la kubebea taka,halafu wana toa maagizo Wasizikute taka... Kama wana kuja waje tu... Tena naomba waje Leo ili wazikute pale pale"
Majibu hayo ya muhusika mkuu wa masuala ya Usafi Mlowo yalitokana na taarifa ya maagizo ya mkuu wa Wilaya ya Mbozi kuwa atakapo fika Mlowo,akute Soko liko safi...!
Mpa leo Hakuna dalili zozote za kuonesha jitihada za kuondoa taka hizo.
#Hakika Nina Waambia;Kama Tusipo angalia...,
Tuta ingia mwaka mpya na Uchafu wa Zamani!
@sr
Mlowo
Post a Comment