Katika kuelekea kusherekea sikukuu za kris mas na mwaka mpya waziri wa uchukuzi Dkt Hrison Mwakyembe amefanya ukaguzi wa tiketi kwa mabasi mbali mbali yaendayo mikoani ili kubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli katika kipindi hiki cha kris mas na mwaka mpya.
Dkt Mwakyembe akifanya Ukaguzi mwenyewe ndani ya Basi
Baadhi ya mabasi yaliyo kamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli ali amuru kurudishiwa nauli zilizo Zidi kwa abiria sambamba na faini ya shilingi Laki mbili na nusu kwa kila basi lilo fanya kosa hilo.
picha
na Sanga Festo


Post a Comment