Pichani juu:Sweet inc aki Nogesha Kisiwani
Mashabiki Waki Fuatilia kwa makini Burudani Kisiwani humu
#Ilikuwa Furaha na Shangwe ya aina yake.
Baada ya Wasanii Kutoa Burudani yao ilifuatiwa na Mziki wa Kibongo ukichanganywa na Zilipendwa.
Kitambaa Cheupeeeee!
Ishara ya Amani na Upendo ndani ya Kisiwa cha Burudani.Mkesha wa X mas Ulivyo Fana katika mji mdogo wa Mlowo jana.
Mlowo
Post a Comment