Unknown Unknown Author
Title: RUSHWA NA UFISADI KWENYE UCHAGUZI VYA MCHUKIZA SUMAYE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"Ningefarijika sana kama tunaojiandaa kugombea nfasi mabalimbali hasa nafasi ya urais tungekemea  rushwa na ufisadi hadharani"F...
"Ningefarijika sana kama tunaojiandaa kugombea nfasi mabalimbali hasa nafasi ya urais
tungekemea  rushwa na ufisadi hadharani"Frederick Sumaye
Sumaye alitoa kauli hiyo jana katika harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi wa parokia ya Mawela ya Kanisa katoliki jimbo la moshi iliyohudhuriwa pia na mbunge wa moshi vijijini Dk Cyril Chami.

Na MJUMBE jr
Morogoro

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top