Unknown Unknown Author
Title: AUSTRALIA:JITIHADA ZA KUNASUA MELI ILIYO KWAMA KWENYE SARUJI ZINA ENDELEA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Meli ya Australia imo njiani kuelekea Mashariki ya Antarctica kwa ajili ya kukwamua meli ya wanasayansi iliyokwama kwenye theluji tangu siku...
Meli ya Australia imo njiani kuelekea Mashariki ya Antarctica kwa ajili ya kukwamua meli ya wanasayansi iliyokwama kwenye theluji tangu siku ya jumanne.Awali juhudi za uokoaji zilifanywa na wavuja theluji wa Uchina na Ufaransa lakini walikwama kutokana na unene wa theluji.

Wanasayansi wapatao sabini na nne, ,watalii na wafanyakazi wa meli hiyo wapo kwenye meli hiyo iliyokwama inayoitwa Shokaiskiy.Meli hiyo ilikua ikitumiwa na taasisi ya Australasian Antarctic Expedition kufuatiliia njia ya mtafiti Douglas Mawson aliyesafiri kwenye njia hiyo karne iliyopita.Shokaiskiy imejaa chakula cha kutosha na hakuna hatari hii kwa mujibu wa timu ya uokoaji.

source:bbc swahili

Na MJUMBE jr
Morogoro

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top