Mmh;Hii ni stendi ya mabasi yamikoani....
Lakini Wenzetu hawa wame amua kubuni Mradi Tofauti na Kuamua kufugia samaki!
Mabwawa ya Msimu ndani ya Stendi ya njombe
Hali ya Stendi ya Njombe Mvua Isipo Nyesha:Picha na maktaba yetu
MJUMBE BLOG TUNA TOA PONGEZI ZETU ZA DHATI
"HONGERENI SANA WAHUSIKA KWA UBUNIFU WENU."
asante ya Picha na Fransis Godwin na Maktaba Yetu.
MJUMBE
Mbeya


Post a Comment