Ukiachana nasisi wengine ambao;tuna hifadhi matukio katika picha,ambayo mara nyingi huwa ni kwa ridhaa ya mhusika na kwa nadra bila mhusika kujua kulingana na tukio lenyewe.Kuna watu wana mtindo wa kurekodi madhunguzo ya kiofisi kwa siri;Nabaadaye huenda kuya tumia kwa masrahi yao binafsi.
Utajisikiaje ukija kubaini kuwa watumishi wenzako wana Tabia kama hiyo?
Mjumbe sr
Mbeya
Mjumbe sr
Mbeya

Post a Comment