Unknown Unknown Author
Title: HATARI SANA:GARI LILILO BEBA MAITI LAKAMATWA LIKIWA NA MADAWA YA KULEVYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Faustine Shilongile -Kamanda wa mkoa wa Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro lime fanikiwa kukamata gari dogo aina ya Toyota Spac...
   Faustine Shilongile -Kamanda wa mkoa wa Morogoro

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro lime fanikiwa kukamata gari dogo aina ya Toyota Spacio likiwa lime beba mwili wa mtu aliye fariki  ambaye alitambulika kwa jina la Khalid Kitelu(47) na kukutwa na kete kadhaa za madawa ya kulevya tumboni.

Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro Faustine Shilongile amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa wallipewa Taarifa kutoka kwa wasamalia wema ambao wali wona njiani;Gari hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam.


    Polisi wakilifanyia Upekuzi Gari linalo Sadikiwa kuwa Lilikuwa lime beba Madawwa ya Kulvya

Polisi wa mkoa waMorogoro wali weka mtego kwenye kituo cha Mikumi na kufanikiwa kulikamata Gari hilo likiwa na Watu Watatu(Majina yame Hifadhiwa) ndani.
Mwili huo ulipelekwa Hospitali na kufanyiwa Uchunguzi na kukutwa na Keta Zaidi ya kumi tumboni mwa Marehemu huyo,Imesemekana Marehemu huyo alifariki Mbeya.
Watu wote watatu ambao wa wawili ni wahusika wa Gari na mmoja ni mfanyabiashara jijini Dar es Salaam mpaka sasa wame shikiliwa na Polisi.
    Baadhi ya Kete zilizo kamatwa ndani ya Gari


Mjumbe
Mbeya


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top