Jumla ya watahiniwa 411127 kati ya 427609 walio faulu mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2013 wamechaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari katika shule za serikari.
Picha Maktaba YetuHata hivyo kwa mjibu wa ofisi ya waziri mkuu Tawala za mikoa na serikari za mitaaa TAMISEMI,Wanafunzi 16484 watashindwa kujiunga na Elimu ya Sekondari kwa wakati mafaka kutokana na uchache wa madarasa.
Jumaine Sagini ameziagiza halimashauri zote kuhakikisha zina kamilisha ujenzi wa vyumba vya Madarasa hadi ifikapo Machi Mwakani.
Akielezea Takwimu za walio chaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari;Alisema idadi ya Ufaulu kwa mwaka huu imeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana Hivyo kuwepo na upungufu wa vyumba vya madarasa 412.
Picha na Maktaba yetu
Jumla ya wanafunzi 867983 washule za Msingi walisajiliwa kufanya Mtihani Huo wakiwa wasichana
543896.
Mjumbe sr
Mbeya


Post a Comment