Unknown Unknown Author
Title: MAGGID MJENGWA:TUJADILI RASIMU YA KATIBA;TUACHE KUJADILI MAJINA YA WAGOMBEA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ndg Maggid Mjengwa mwandishi wa makala katiak magazeti mbali mbali;katika maandiko yake tofauti na mazungumzo ya kawaida kuhusu Hatima ya...

Ndg Maggid Mjengwa mwandishi wa makala katiak magazeti mbali mbali;katika maandiko yake tofauti na mazungumzo ya kawaida kuhusu Hatima ya Tanzania kama nchi,amekaririwa mara kadhaa akisisitiza Wa Tanzania kuacha tabia ya kuendekeza kuyajadili majina ya watu wanao dhania wana nia ya kugombea katika Vijiwe mbali mbali;Na badala yake wajike katika vitu vya msingi na Endelevu zaidi vyenye manufaa kwa jamii nzima na Tanzania kama nchi!
Ame kaririwa akitumia Lugha ya Picha zaidi katika Masimlizi yake kwa kusema "Wasadikika wana Tabia ya Kujisahau..." Katika Simulizi zake aligusia tabia ya wana nchi wengi kuishi kwa matukio na kila tukio kusahaulika mara tu tukio jingine linapo Tokea!
    Picha ya Pamoja ya Familia ya Bwana Maggid Mjengwa

Hoja yake ya Wa Tanzania Kuachana na tabia ya kujadili Majina ya watu aliitoa pia Alipo Ulizwa swali na mwanawe Olle Mjengwa;kwamba Khali Ikoje sasa Tanzania kuhusu siasa? Alijibu "Nasisi umebaki mwaka mmoja kabla ya kuingia mwaka wa uchaguzi,Na kwasasa wa Tanzania tupo bize si kwenye kuzungumzia issue,bali majina ya watu.Kila kukicha ni majina kwa kwenda mbele... Zitto,Lowasa,Slaa,Migiro,Membe,Mbowe,Makamba,Lipumba na mengine mapya yana kuja njiani.Alisema Mjengwa.

chanzo:bog yake

MJUMBE sr
Mbeya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top