Unknown Unknown Author
Title: "MWAKATA!" ! NI SALAAMU YA MBOZI HII....! MTOA SALAMU NI MYIHA HUYU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni salamu ambayo kama Sitaki kumsalimia Mtu "SHIKAMOO" Huwa naitoa ili kupunguza makali ya SHIKAMOO! Hivi;Kwa Lugha ya Kinyiha...
Hii ni salamu ambayo kama Sitaki kumsalimia Mtu "SHIKAMOO" Huwa naitoa ili kupunguza makali ya SHIKAMOO! Hivi;Kwa Lugha ya Kinyiha Kama Nataka niseme SHIKAMOO NTASEMAJE? Msaada Tafadhari.
MmH! Na Wanapo Kwambia Vilisyala ni sawa na Anaye kwambia 'VITABAKI' Ama kwa Kizungu wana maanisha "Legacy yako"! Je, SHIKAMOO Muna iitaje?

MJUMBE Sr
Near NJOMBE

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top