ATA MBUYU SIKU MOJA ULIANZA KAMA MCHICHA,MJUMBE ANAANZA HIVI KAMA MHANDISI.
Pichani ni moja kati ya kazi setu kama wahandisi hapa chuoni,Kwa mara ya kwanza Mjumbe anawasha sakiti ya umeme.
Hivi ndivyo tunavyoandaliwa kuwa Wahandisi watakaoijenga Tanzania ya baadae..endelea kufuatilia harakati hizi za Mjumbe Jr.
Mjumbe Jr
Morogoro(SUA).
Post a Comment