Unknown Unknown Author
Title: HII NDO MBINU MPYA YA KUFANYA MATANGAZO YA BIASHARA ..
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni tiketi ya gari linalofanya safari zake Ubungo Kariakoo..na kama inavyoonekana pichani huu ni Ubunifu mkubwa na ambao gharama zake n...
Hii ni tiketi ya gari linalofanya safari zake Ubungo Kariakoo..na kama inavyoonekana pichani huu ni Ubunifu mkubwa na ambao gharama zake ni ndogo ukilinganisha na matangazo katika redio na Televisheni..
Haya alikutana nayo Mjumbe Katika safari zake na harakati na town!
Na Mjumbe Jr
Morogoro

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top