Unknown Unknown Author
Title: HONGERA SONGO:SIKU KAKA YETU "RICHARD NGAYA AMA CHIHAYA SONGO" ALIPO FUNGA PINGU ZA MAISHA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha:Ilipigwa Siku ya Tukio Mwaka 2013 Siku Kaka yetu Richard Chihaya Ngaya alipo Funga pingu za Maisha na Pendo Nixon! Hon...
Picha:Ilipigwa Siku ya Tukio Mwaka 2013

Siku Kaka yetu Richard Chihaya Ngaya alipo Funga pingu za Maisha na Pendo Nixon! Hongereni sana Nifuraha watu wanapo amua Kuishi pamoja.
Kila la kheri na MUNGU Aibariki Ndoa yenu.
Kali kuliko ni Hiyo kamba ya Simu iliyo ning'inizwa Shingoni mwa jamaa! Sina Mbavu huku mimi huyu Songo anaza kizee kweli kweli! Mitindi kama hiyo huwa nawaona Wazee na akina mama ndio Wanapendelea kuvaa Jamaa naona ana Uenz Umri.
 
HONGERA SONGO! HONGERA RICH!

MJUMBE sr

 


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top