Unknown Unknown Author
Title: KI RAS TA FARAI:HUWEZI AMINI LEO NIME PIKIWA MIZIZI NA MATUNDA PEMBENI....! JANA NILIPEWA MIZIZI PIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
    Picha Ikionesha Mizizi(Chakula) ni karanga na Viazi     Na Tunda pembeni;Maparachichi ya Mbeya haya    Pichani ni Ndugu yangu A...
    Picha Ikionesha Mizizi(Chakula) ni karanga na Viazi
    Na Tunda pembeni;Maparachichi ya Mbeya haya

   Pichani ni Ndugu yangu ALEX KAKYELA;Jana Round About ya Mlowo akitununuliwa Zawadi ya Mizizi(Numbu)! Kuna Hadithi kuwa ukiona mgonjwa anaye kataa Kula hata numbu....! Ooooh.#KUBALI MATOKEO.
 Picha Zote kwa Hisani ya Kamera yetu

Najivunia Kuendeleza Utamaduni huu....
Hakika kuna wengine hivi vyakula wame ishia kuvijibia mitihani yao shuleni Lakini hakuna siku walipo Eleweshwa kwamba Ile mizizi waliyo kuwa wana itumia wazee wetu wa kale kama chakula ni ipi? Na wanapo ambiwa kuwa Wazee wa zamani walikuwa wana kula mizizi na matunda poli Haiwaingii akilini.Nimeona itakuwa vema kama nita share na watu wangu Historia hii! Hasa wale amabo kila kitu kwao wana Fuata Super Market.

ELASTO MBELLA
MBEYA/MLOWO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top