Wazo
korofishi: Ingekuwa maonesho yabkiheshi na zana za kivita yanashinda
vita au kuzuia watawala wasiondolewe basi Col. Gaddaffi angekuwa bado
madarakani na Hosni Mubarak vile vile. Rais wa Ukraine asingekimbia watu
wake wakati alikuwa na majeshi ya kila namna. Unaweza tu kuwatisha watu
kwa silaha na mitutu ya bunduki lakini huwezi kuwafanya wakupende.
Uongozi ni zaidi ya vitisho..ni ushawishi wa hoja maridhawa zenye
kusimama kwa ushahidi wake.
MJUMBE Sr
Post a Comment