Unknown Unknown Author
Title: KUMBUKUMBU KATIKA PICHA:HAPO ZAMANI ZA KALE FAMILIA YETU ILIKUWA HIVI....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
PICHA:Maktaba Yetu,Kutoka Kushoto ni Baba Mzazi(Mbella),Aliye Pakatiwa ni Mdogo wango Benedicto,Mimi ni huyo Niliye Tokelezea hapo na Sa...
PICHA:Maktaba Yetu,Kutoka Kushoto ni Baba Mzazi(Mbella),Aliye Pakatiwa ni Mdogo wango Benedicto,Mimi ni huyo Niliye Tokelezea hapo na Sarawili lenye Alama Kwenye Magoti(Elasto),Pembeni yangu kushoto Ame keti Mdogo wangu Theofrida na Mwishoni kabisa ni Mama Mzazi~My Iron Lady to be.Aliye Tufanya Hivi Tulivyo Leo! Tuna jivunia Huyu.
Na huo ndio Mti wa Familia Yetu na Matunda yake.

Familia ndio Chimbuko la Taifa.... Familia Imara,Hutengeneza Taifa Imara! Amani ya Taifa Huanzia Katika Familia.Familia ndio Chimbuko.

MJUMBER
NJOMBE
03 Apr 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top