Unknown Unknown Author
Title: MABILIONEA WA MAREKANI WAITEMBELEA SERENGETI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
...


serengeti-landscape_2cf2d.jpg
Watalii Mabilionea 42 kutoka Marekani wamemaliza ziara yao ya utalii ya siku nne katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuelezea kufurahishwa kwao na uzuri wa hifadhi pamoja na maajabu ya wanyama mbalimbali wanaopatikana Serengeti ikiwemo msafara maarufu wa wanyama wahamao aina ya nyumbu.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu alipata fursa ya kuwaaga watalii hao walipokuwa wakiondoka nchini kuendelea na ziara ya utalii katika nchi nyingine za Afrika wakitumia ndege binafsi aina ya Boeing BBJ 737 HB-11Q inayomilikiwa na Kampuni ya Utalii ya Abercrombie & Kent ya nchini Marekani. (J.G)
Read more...

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top