Unknown Unknown Author
Title: MATUKIO NA PICHA KUMI ZA:SAFARI YA MWISHO YA "GODFREY SIMON MWALA",KWENYE MAKAZI YAKE YA KUDUMU IKOMELA.VWAWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya wanakijiji Cha Iyula aliko kuwa akiishi Godfrey Simon Mwala wakikabidhi Rambirambi kwa Kaka yake(Mzee Mswima wa Iyula A...




Baadhi ya wanakijiji Cha Iyula aliko kuwa akiishi Godfrey Simon Mwala wakikabidhi Rambirambi kwa Kaka yake(Mzee Mswima wa Iyula Akiwawakirisha Wenzake.


   Picha Mwili wa Godfrey Simon Mwala Ukiaagwa kwa Mara ya mwisho na Ndugu jamaa na marafiki,Kijijini(Ikomela).
 

   Mwili wa Godfrey Simon mwala,ukiwa Unaelekea katika Makazi yake ya kudumu kuhifadhiwa

Nyumba ya kudumu ya Godfrey Simon Mwala hii hapa

   Picha ya Kumbukumbu kwa Baadhi ya ndugu,jamaa na Marafiki(SIMBEGA PIONEERS);Wakiwa pamoja kumuaga ndugu yao Mpendwa.Kutoka kushoto mwenye Tisheti nyekundu ni Given,Jelia,Elius,Prosper,Alex na kulia kabisa ni Ndoste.
 
 Picha ya baadhi ya wlio jitokeza kumughani Godfrey Simon Mwala
 MUNGU AILAZE ROHA YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMENI.
Shukrani za Pekee kwa Msaada wa Picha Zote za Matukio na Alex,Given na Elasto!


MJUMBE Sr
MBOZI/VWAWA

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. Jamani daaaaaaaahhhhh!!!!!!!! yote kwa yote tumuachie Mungu

    ReplyDelete

 
Top