Unknown Unknown Author
Title: MVUA ZINAZO ENDELEA ZAIGEUZA WILAYA YA LUDEWA~ NJOMBE KISIWA KWA SIKU MBILI! BARA BARA HAIPITIKI;USAFIRISHAJI ABIRIA WASTISHWA KWA SIKU MBILI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Basi la Ludewa,Njombe Iringa Jina la Biashara Lina itwa MWAFRIKA SOWETO ya AMANI Tarafa ya Liganga Aliko Mjumbe haija onekana Stendi ...
Basi la Ludewa,Njombe Iringa Jina la Biashara Lina itwa MWAFRIKA
SOWETO ya AMANI Tarafa ya Liganga Aliko Mjumbe haija onekana Stendi yapata Siku tatu sasa.


Kwa ujumla hali ya Miundo mbinu katika wilaya ya Ludewa bado sio Nzuri sana,hasa wakati huu wa msimu wa Mvua Barabara nyingi zime Bomoka na Hata kusababisha aza kubwa kwa wasafiri ndani ya wilaya watokao na waingiao.
Hali hii ilipelekea madereva kusitisha huduma kwa muda ili kushinikiza Ukarabati wa barabara hiyo,ambayo Mpaka Leo Mchana Magari yame anza kutoa Huduma tena.Kutokana na matengenezo ya barabara hii.
(Picha na Maktaba yetu)

MJUMBE Sr
LUDEWA/AMANI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top