Unknown Unknown Author
Title: WAKULIMA WA LIGANGA,LUDEWA:BORA TUUZE MAHINDI YETU KWA WALANGUZI,KULIKO KUKOPWA NA SERIKARI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tarafa ya Liganga,Wilayani Njombe ni miongoni mwa Tafarafa pekee zinazo Zalisha Mahindi kwa Wingi kiasi cha Misimi mingine Mazao kozea kwa...
Tarafa ya Liganga,Wilayani Njombe ni miongoni mwa Tafarafa pekee zinazo Zalisha Mahindi kwa Wingi kiasi cha Misimi mingine Mazao kozea kwa wakulima kutokana na kukosa Soko la uhakika na Serikari kufunga Mipaka kwa wafanyabiashara kutoka nje.

Serikari imeweka mikakati ya kununua mazao kutoka kwa wakulima hao kwa kuanzisha vituo maalum ambapo kuna mawakala walio pewa tenda ya kununua Mazao ya wakulima hao katika msimu wote.
Tofauti na jitihada hizo;Wakulima hao kwa nyakati tofauti wameonekana kukerwa na huduma hiyo ya serikari ambayo kwao wame iona kama hujuma kwa                   mkulima,kutokana na kukopwa Mazao yao na kutolipwa kwa wakati pesa yao na hata bei kuto kuwa na Tija kwao.
Jambo hilo lime Zua Minong'ono na manung'uniko hata kufikia wakulima kugomea kufanya Biashara na serikari yao na kuamua kuwauzia walanguzi au madalali yakiwa shambani bdala ya kupeleka katika mghara ya Srekari yaliyopo Shauli ya Moyo na Mlangali.

Kwa wakulima walikili kwamba hawawezi kufanya Biashara na serikari kutokana na Wizi wanao fanyiwa katika Vipimo hasa Mizani wanapo peleka mazao yao kutokana na kuto kuwa na Elimu ya Usomaji wa Kilo za mazao yao,Bei isiyo na Tija,Ucheleweshwaji malipo na Ubabaishaji katika Malipo kwa Wakulima hao kwa Wakati.
Hayo ni Moni yaliyo tolewa na Wananchi wa Vijiji vya Amani,Shauli ya Moyo,Mundindi na Hata Mlangali walipo Tembelewa na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali.

(Picha na maktaba Yetu,KIJIJINI AMANI)

MJUMBE sr
LUDEWA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top