Unknown Unknown Author
Title: PIONEERS:INGIA HAPA USOME UJUMBE ZAIDI YA 10 ALIO UANDIKA EXPENDITUS MWAWEZA ENZI ZA UHAI WAKE! MAWAZO YAKE KWENYE KATIBA MPYA PIA YAPO HAPA;NA ALIWAHI KUMTAFUTA MDAU WETU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zikiwa Bado siku chache tu kuifikia Siku ambayo ilikuwa ngumu kuamini tunacho kisikia kwa wale tulio Mjua ndugu yetu Expenditus Mwaweza.... ...
Zikiwa Bado siku chache tu kuifikia Siku ambayo ilikuwa ngumu kuamini tunacho kisikia kwa wale tulio Mjua ndugu yetu Expenditus Mwaweza.... Kuukubali ukweli kuwa ametutoka ilikuwa ngumu sana!
Lakini Ilikuwa kweli... Leo Hatunaye Jamaa yetu,ndugu,rafiki mpendwa,Jirani,mwalimu na Mpiganaji halisi aliye pigana mpaka siku ya Mwisho...
MJUMBE BLOG Tume ona nivema kama Tuta waletea Nukuu zake chache tu ili kujua aliwahi kuandika nini... na Alikuwa ana amini nini..!
Tume utumia ukurasa wake Kupata Ujumbe huu.Endelea....

#To have sounding Transcript and CVs is One thing and to convert them into MONEY is another different thing.So we better find simple Conveter.
26 June 2012

#Now its a time to change our dream into Reality.
11 June 2012

#Unajua Elimu ya hyponosis inasaidia sana kwa kufanya vitu vilivyo nje ya Uwezo.So kamanda nime vaa joho kwa kuweka dole gumba mbele.Tchaoooo
24 Novemba 2011

#Tarehe ya kupima Uzito na wepesi wa majoho imefika.
21 NOVEMBA 2011

#I mostly Prefer ma own Child thana to have wife
 16 Octoba 2011

#Now it is a right Time to find Street GPA,All the best ma buddy.
22 August 2011

#GOD is Real Great.
18 August 2011

#Nowadays withiout Effort there is No mirracle in Life.
  18 July 2011

#Judgement day is around da courner so Stay Tune.
19 May 2011

#God Loves Us so Recieve him so as to enjoy his Loveness.
18 April 2011

#Sorry if i have misconcerpt are you a sisiter of ELASTO NGAYA?
09 April 2011

#Optimist view Real do.
07 March 2011

#In this Era of Constitutional Amendment how do you find if only Elite Citizens should only participate in general election?
This is because many people in Tanzania they don't know even to write and read but steal they participarte in election.
17 January 2011

#May God Bless those with Postive mental atitude.

Unaweza Kushare Zaidi ili Kufikisha Ujumbe Huu kwa Wengi.

Elasto Mbella Ngaya
Mjumbe Sr
NJOMBE





About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top