Unknown Unknown Author
Title: SHABIKI NA MDAU WA MBEYA CITY:INGIA HAPA UPATE TAARIFA KAMILI YA TIMU YAKO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MBEYA City Council FC Ndugu mashabiki wetu hamjambo? hii ilikuwa ni sherehe ya shukrani kwa wadau we...
Ndugu mashabiki wetu hamjambo? hii ilikuwa ni sherehe ya shukrani kwa wadau wetu wote iliyoendana na kuvunja kambi kwa muda ili kutoa nafasi kwa wachezaji wetu kujumuika na familia zao kabla ya kurudi kambini kujiandaa na msimu ujaon wa ligi kuu
wachezaji wafuatao walipokea zawadi maalu.
1 Yusufu Abdallah alichukua zawadi ya mchezaji mdogo zaidi aliyecheza mechi nyingi.
2 Mwagane yeya alichukua zawadi ya mfungaji bora kwenye timu akiwa na magoli 6
3 David Buruhani alichukuwa golikipa bora huyu amecheza mechi zote.
4 Anthon Matogoro huyu amechukua nahodha bora
5 Stephene Mazanda mchezaji mwenye umri mkubwa aliyecheza mechi nyingi.
6 Hassan Mwasapili huyu amechukua zawadi ya mchezaji bora kwa ujumla.
wote hawa walikabidhiwa fedha taslimu kila mmoja

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top