Ni
mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia
kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake
kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya.
Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa Muhimbili kwa MJUMBE BLOG
zimesema Mzee huyu amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13
2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye
wodi namba 6 ya Mwaisela kutokana na kuzidiwa.
Tayari mwili wake umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti
ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo na taratibu za mazishi.
MJUMBE Sr
Home
»
»Unlabelled
» TANZIA:MSONDO BILA NGURUMO.... MWANAMZIKI MKONGWE MZEE NGURUMO AMEFARIKI DUNIA!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment