Unknown Unknown Author
Title: TAZAMA TASWIRA YA AJALI YA NDEGE:MAKAMU WA RAIS GHARIB BILAL,SULEIMAN KOVA,SAID MECKY SADICK WALIVYO NUSURIKA KIFO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sunday, April 13, 2014 Helkopta iliyokuwa imewabeba Kikosi cha zimamoto kikiizima helkopta hiyo ya Jeshi la Wananchi Tanzania iliyokuwa i...

Sunday, April 13, 2014Helkopta iliyokuwa imewabeba

Kikosi cha zimamoto kikiizima helkopta hiyo ya Jeshi la Wananchi Tanzania iliyokuwa imewabeba viongozi wa serikali.


MAKAMU wa Rais Dk. Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova na mpiga picha wa TBC, George Kasembe wamenusurika kifo baada ya helkopta waliyokuwa wanasafiria kupata ajali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Viongozi hao walikuwa katika helkopta ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa ziara ya kukagua athari za mafuriko jijini Dar es Salaam.

Baada ya ajali, viongozi hao wamepatiwa matibabu katika majeraha waliyoyapata na wameendelea na ziara yao!


Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick,

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
 
MJUMBE Sr
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top