AJALI ANGANI:NDEGE YA JET 2 YAISHIWA HEWA ANGANI! NA KUSHUKA GHAFLA FUTI ALFU MOJA KWA DAKIKA!
Abiria wa ndege raia wa Uingereza wamejikuta wakijawa na hofu baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kurejea nchini kwao kuishiwa na hewa hafla jana usiku., Ngege hiyo Jet 2 aina ya LS516 ilianza kushuka hafla saa moja tu kupita baada ya kuondoka kutoka Paphos nchini Cyprus kuja Newcastle usiku wa jana.
Ndege hiyo ilishuka futi alfu moja kwa dakika wakati vidude vya kuvutia hewa ya oxygen kwa dharura vilipofunguliwa ili kuwasaidia abiria kupumua, Ndege hiyo ililazimika kutua kwa dharura uwanja wa ndege wa Sofia nchini Bulgaria.
MJUMBE Sr

Post a Comment