Kwa taarifa zilizoifikia website yetu kutoka ndani ya kmati ni kuwa
aliyekuwa mgombea Urais wa klabu ya Simba Michael Richard Wambura
ameshinda rufani yake baada ya kuondolewa na kamati ya uchaguzi wa klabu
hiyo chini ya mwenyekiti Damas Ndumbalo.
Kamati ya rufani ilikutana jana saa tano asubuhi hadi usiku lakini haikumaliza mchakato mzima na leo asubuhi wameamkia hadi jioni ya leo lakini mmoja wa viongozi waliopo ndani ya kamati ametupitishia taarifa hiyo muda sio mrefu kuwaWambura ameshinda kesi yake.
Kwa habari zaidi endelea kufatilia website yetu (PT blog) tutakujulisha kinacho endelea.
MJUMBE Sr

Post a Comment