Unknown Unknown Author
Title: ATHANAS KAPUNGA:UJENZI WA SOKO LA MWANJELWA KUKAMILIKA BAADA YA MIEZI 8;SOMA ZAIDI HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mbeyafm Redio ·Pichani Juu:Mwonekano wa Soko la Mwanjelwa Kwa Mbele Sintofahamu juu ya Soko la Mwanjelwa Jijini Mbeya imetatuli...
·Pichani Juu:Mwonekano wa Soko la Mwanjelwa Kwa Mbele

Sintofahamu juu ya Soko la Mwanjelwa Jijini Mbeya imetatuliwa baada ya kufanyika
Makabidhiano kwa Mkandarasi Mpya Nandra Engineering Construction Co.! Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga ameeleza kuwa Ujenzi utakamilika rasmi baada ya miezi 8.. huku Ujenzi wa Mwanzo kabisa ulianza Februari 25, 2010, chini ya Mkandarasi Tanzania Building
Works Company Limited aliyeshindwa kukamilisha ujenzi huo kwa Matatizo yake binafsi na aliamua kuondoka eneo la Ujenzi huku kazi ikiwa haijakamilika.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top