Unknown Unknown Author
Title: HABARI NJEMA KWA WAVUVI WA ZIWA RUKWA:LEO NI SIKU YA UZINDUZI WA SHUGHULI ZA UVUVI! BAADA YA ZOEZI HILO KUSTISHWA KWA MUDA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani Juu ni Samaki wa Ziwa Rukwa,kama walivyo kutwa na Mpida Picha Wetu Mwezi Januari siku chache kabla ya Kusitisha Uvuvi. Zoezi Hili ...
Pichani Juu ni Samaki wa Ziwa Rukwa,kama walivyo kutwa na Mpida Picha Wetu Mwezi Januari siku chache kabla ya Kusitisha Uvuvi. Zoezi Hili la Kustusha Shughuli zote za Uvuvi ndani ya Ziwa Hilo liliendeshwa Mwezi Januari mwaka huu Nibaada ya Kupisha Uvuvi wa Samaki katika msimu huu ili ktoa Muda wakue na Wazaliane kwa wingi,na Kuondoka maeneo ya Hifadhi(wakulima na wafugaji) kupisha wanyama pori wakiwemo Tembo walio anza kuathirika kutokana na Shughuri za Kibinadamu zilizo kuwa zina endelea katika Ukanda wa Ziwa Rukwa.
Pichani ni baadhi ya Wavuvi na Wakulima wanao Fanyia Shughulizao katika Ukanda wa Ziwa Rukwa Kama walivyo kutwa na Mpiga picha wetu(Picha na Maktaba yetu) Idadi kubwa ya wavuvi hao walionekena wakirudi kwa hiari siku hadi siku ili kupisha na kutekeleza kwa vitendo Amri hiyo ambayo mwisho Ulikuwa Tarehe 01 Januari 2014.Baadhi yao Kituo chao kilikuwa mji mdogo wa Mlowo na kuelekea kwingineko kama Nsongwe,Tukuyu,Kyela,Vwawa,Tunduma na vijiji vingine vilivopo katika Wilaya ya Mbozi. Leo Imesikika Habari njema ya Taarifa za Uzinduzi wa Shughuli za Uvuvi katika ziwa Rukwa ambazo zilikuwa zimesitishwa kwa Muda! Hii ni Habari njema kwa Wakazi wa Rukwa,mBEYA na Vijana Mbalimbali ambao Uwepo wa Ziwa Rukwa Umekua kama Fursa na Neema ya Kujiajili Kwao.Nimatarajio yetu Watitumia Vema Fursa Hiyo. MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top