Unknown Unknown Author
Title: KUMBUKUMBU KATIKA PICHA NA UPDATE ZAIDI:PIONEERS WAKUTANA INGIA HAPA UONE WALIVYO WASIRI,WALIVYO POKEWA NA WALIVYO KUTANA NA KUJADILI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani Baadhi ya wadau wakiwasiri Pichani juu Wadau waki Peana Salaamu kwa Furaha na Bashasha maana kuna watu wana Zaid...

Pichani Baadhi ya wadau wakiwasiri
Pichani juu Wadau waki Peana Salaamu kwa Furaha na Bashasha maana kuna watu wana Zaidi ya Miaka Mitano hawaja wahi onana tena mpaka Leo!
Baraka za Ofisi kuu zikitolewa na Mwalimu Mzena na Kuwa Tambulisha Vijana wake kwa Baadhi ya Wanafunzi waliokuwepo katika Madhingira ya Shule wakati wa Tukio hilo ili wajue nini kina endelea na wao Wajifunze kitu kutoka Kwa Kaka zao!
Pichani ni Baadhi ya wadau wa Simbega Pioneers wakiwa Mbele ya Uwanja wa Staff kwa ajili ya kuongea na wadogo zao.
Pichani ni Baadhi ya Wanafunzi walio Pata Fursa ya Kusikiliza nasaha kutoka kwa Kaka zao wappendwa!
Pichani juu hapa ni mwendo wa Nasaha za bure kwa Mifano na Halisi kama tupo Klasi Vile! Kila Mtu anajaribu kuitoa historia yake Mbele ya wadogo zake na Kuwa Hamasisha zaidi! Na hata kuwa tamanisha ili wawe na uchu wa kulenga juhudi zao kwenye ELIMU Wanayo Pewa na Walimu wao.
Pichani Mjadala wa Ndani Ukiendelea kwa baadhi ya Wadsu walio Fika kwenye kikao
Pichani Wakati wa Kubadilishana Mawasiriano Ulipo wadia kila Mmoja alijaribu Kuchukua na kuacha Mawasiriano anayo amini ni mbadala kwa ajili ya Kupewa Taarifa au mrudusho.
Na Hapa MWASIRIANO ndiyo kitu pekee Kinacho weza ama kukuza Udugu na Urafiki au Kuvunja Udugu.Hapa Kila Mmoja Amehamasishwa Ajijengee Utamaduni wa Ama Kutafuta Habari au Kutoa Taarifa kwa Wenzake ili Pale Kwenye Utata Majibu ya Pamoja Yatafutwe na yafanyiwe Kazi Haraka na Kwa wakati.
#@Angalizo;Hiyo ni Moja ya si tu Utaratibu bali kama Sifa ya Pioneer Hai.

Pichani juu na Hapa ni kama Enzi Zile za Mzee Haule Akisema Kushoto na Kulia Tawanyika... Mbele Tembea! Umeona eeh.#Kwanini Ulikosa? Kwanini Siku Nyingine Usiwe Wewe?
Nipoa sana.
Hatimaye Historia Imeandikwa Upya... Na Safari inaendelea!

Soma Zaidi UPDATE ZA KIKAO......

Updates za kikao Leo tatr 19.6.2014
Historian fupi ya kikundi.
Kikund kilibuniwa rasmi mnao mwaka 2011 name ndg Ndoste A than as ;wanachama wamekua wakongezeka Sikh had I siku.mpaka salsa wanacha wapo 89 ingawa engine hawana vigezo ma so active members.wanachama went waiongezeka baada ya kikiundi kufanya vizuri katka msiba wa Expenditus;Agata msongole;God Mwala.R.I
P to them.
Agenda kuu ilikua moja
* katiba ya c hama*
JINA LA CHAMA
Wajumbe wameshauri jina LA chama lisbadlishwe.
SIfa za mwanacha
*awe anashrk michango mbali2
*ashrk shghl mbal2 za chama.
*awe kasoma sss au no mwnyji was Kata hii.
*awe name akli timamu.
*awe name miaka 18 au zaidi.
*awe na uwezo was kujitegemea.
*awe name nidhamu
UONGOZI
*muundo was uongozi utajumuisha;
+mwenyekti
+katibu
+mhazina na
+ katibu mwenezi.
VYANZO VYA MAPATO;
- ada ya mwanachama ni 5000/ miez 6 au 10000/ mwaka
MAMBO YA KUSAIDIANA
*akifarik mwanchama mfuko inayoa 20% ya makusanyo yote.
*anapofiwa na mke;Mme.mtoto.au mzazi 10% ya mapato itolewe.
*mwanachama akiugua tutamsaidia kwa mchango was Palo kwa papo
*pia Harusi name ndoa mfuko utashiriki kadiri mapato yatakavyopatkana.
KUCHAGUA VIONGOZI.
Wanachama waliohudhuria wechagua;
*mwenyekiti Alex Kakyela.0752181161
*Katibu Mkuu -Athanas Ndoste 0764510249
*Katibu mwenezi- Given Msyete -07
*Mhazina-Noel Simwimba-0753699271
Ingza mchango kwenye tin namba 206461 ya mpesa ya mhazini ambayo haima gharama kutoa.Asanteni nawasilisha hoja
Wenu Ndoste;A
Katibu.
 


#@Taarifa Zaidi Zita wajia Kupitia Kwa wadau Walio pewa dhamana kutoa Habari na Taarifa zaidi.
Hizi ni Picha na Matukio tu Habari zaidi na maelezo ya Kilicho jadiliwa na Kuafikiana zitawajia.Unaombwa Kuchangia Mawazo yako pindi Rasmu Itakapo Letwa Jukwaani.
Asanteni.
Wenu Muhabarishaji na Mtunza Matukio Picha Mtandaoni;
MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top