Vijana Wakisuma Gari Hilo kwa makubaliano ya kulipwa Pesa
Hapa wana gawana Fedha iliyo tolewa na Dereva baada ya kunasua Gari
Waki ingia kwenye Gari ili kuendela na Safari.
Picha zote Na Gabriel Ng'osha
MANENO YANGU ILA NAOMBA MSININUKUU TAFADHARI!
Vijana wanapo Geuza Matatizo ya Serikari yao Kama Sehemu ya Kujiingizia Kipato....
Na Serikari Inapo Tumia UMASIKINI wa Vijana wao Kama Fursa ya Kuwapumbaza....!
Ni Jambo Jema.Maana ni sawa na Kuuza Cheni ya Bandia na Ukapewa Fedha ya Bandia.
Miundo Mbinu Yetu Mingi bado imegeuzwa Mitaji ya Wahusika kwani Ukarabati Huanza siku tu Uzinduzi Ukikamilishwa na wale wale walio Zindua Huruhusu Fedha ya Ukarabati itolewe.Fedha hiyo ni Kodi ya Mimi na Wana nchi Wenzangu! ni jasho la walalao hoi na waamkao Hoi.
ELASTO MBELA
MBEYA
MJUMBE Sr




Post a Comment