
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe wa nne kushoto akiwa na wanahabari na viongozi wengine mjini Dodoma


(P.T)


(P.T)


Mbunge Filikunjombe mwenye suti na tai nyekundu katikati akiwa na wageni wake mjini Dodoma





Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wageni wa mbuge Filikunjombe

Waziri mkuu Pinda akisalimiana na wajumbe wa mbunge Deo Filikunjombe waliotembelea bunge juzi ,kulia ni mbunge Filikunjombe







Ujumbe kutoka kwa mbunge Filikunjombe ukiwa bungeni

Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa na ugeni wa mbunge Filikunjombe

Mbunge Filikunjombe kushoto akiteta jambo na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa bunge


Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akizungumza na timu ya ujumbe wake mjini Dodoma(picha na Francis Godwin Blog)
Post a Comment