Unknown Unknown Author
Title: MGOMO WA DALA DALA ULIO DUMU KWA ZAIDI YA SIKU MBILI JIJINI MBEYA:WASITISHWA;DALA DALA ZARUDI BARABARANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha na Taarifa Zote NA:MBEYA & WORLD News ·  Picha hii Imepigwa Stendi ya Kabwe/Mwanjelwa DALADALA MBEYA ZARUDI BARABARA...
 Picha hii Imepigwa Stendi ya Kabwe/Mwanjelwa


DALADALA MBEYA ZARUDI BARABARANI...NI BAADA YA MGOMO WA SIKU 2
Daladala za Mbeya zinazofanya kazi kwenye barabara ya Stand kuu na Uyole leo zimeendelea na shughuli zake kama kawaida kwa masharti kwamba suala lao lizidi kujadiliwa mpaka ijumaa kisha watakaa na kujadili kuhusu muafaka wao.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top