Pichani juu;Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Rukwa
Kwa mara ya kwanza katika hostoria ya Tanzania, usaili kwa ajili ya kujaza nafasi hizo 70 utafanywa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mnamo Juni 13, mwaka huu saa 1:30 asubuhi! Hii haijawahi kutokea.
My Take:
Tatizo la ajira kweli ni janga la kitaifa kwa sasa. Hawa vijana wote wanaohitimu bila kuwa na kazi za kufanya, ni hatari sana kwa usalama wa nchi kwa sababu sidhani kama watakubali kuendelea kusota mitaani ilhali wakiwa hawana ajira. Tujadili jambo hili ili kuona namna nzuri ya kukabiliana nalo.
Nawasilisha
NB: List kamili HII HAPA
Endelea Kututembelea Mtandaoni kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG na Kuingia Hapo Ili Kupata Habari,Picha na Matukio Mbali mabali ndani na Nje ya Nchi Mara kwa Mara!
MJUMBE Sr
Post a Comment