12:00 AM
Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar.
Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea maeneo ya Darajani karibu na msikiti na kujeruhi Wahadhiri waliokuwepo katika msikiti wa Darajani mara baada ya kumalizika Sala ya Isha.
Mlipuko
huo unasemekana umetokea baada gari ambalo lililopita mbio na kurusha
kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye gari ambalo wangelitumia
wahadhiri waliokuwa katika Muhaadhara ndani ya Msikiti
Kuna taarifa kwamba mtu mmoja mpaka sasa amepoteza maisha.
Soma Zaidi....
TAARIFA;
Habari zilizotufikia kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa mtu Mmoja ameuawa kwa mlipuko katika eneo la Darajani huko Zanzibar.
Bado maelezo ya uhakika hayajapatikana,
lakini inaelezwa kuwa waliolengwa walikuwa
viongozi wa kiislamu wakitoka msikitini.
“Walikuwa masheikh kutoka Kenya
wametoka Masjid (msikitini) na wenyeji wao
wanakwenda kupanda gari na kutokea
mlipuko huo,” kimeeleza chanzo chetu
kutoka Zanzibar.

Imeelezwa kuwa watu waliojeruhiwa wako
hospitalini wakitibiwa., tunajitahidi kuwatafuta Wakuu wa Vyombo vya Usalama kwa Uhakiki na Taarifa zaidi, tutaendelea kuwa Taarifu.
Chanzo:Mbeya Fm/Jf/Bongo Swaggz.
MJUMBE Sr
hospitalini wakitibiwa., tunajitahidi kuwatafuta Wakuu wa Vyombo vya Usalama kwa Uhakiki na Taarifa zaidi, tutaendelea kuwa Taarifu.
Chanzo:Mbeya Fm/Jf/Bongo Swaggz.
MJUMBE Sr
Post a Comment