Na Waandishi Wetu
HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya
kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka
ya Mlimani City jijini Dar wamejikuta wakipata mchecheto wa aina yake
baada ya kitu kilichodhaniwa ni bomu kukutwa kwenye eneo la kuegeshea
magari.
Tukio hilo lilitokea Juni 16, mwaka huu ambapo kwa mujibu wa shuhuda
aliyeomba kusitiriwa jina, aliona gari dogo jeupe likiangusha kifaa
hicho kilichodhaniwa ni bomu kisha likatoweka.
Chanzo hicho kilizidi kudai kuwa baada ya gari kutoweka, dada mmoja alipita eneo hilo na kukuta kitu hicho kilichofungwa nyaya kikiwa ndani ya mfuko, akashtuka na kwenda kumtonya mlinzi wa eneo hilo ambaye alifika mara moja na kuwaita wenzake.

Taarifa za uwepo wa kifaa hicho ziliwafikia waandishi wetu waliokuwa
wakipiga doria katika eneo hilo na haraka wakasogea karibu kuwashuhudia
walinzi hao wa Kampuni ya Ulinzi ya Omega wakiwa wamekizunguka kifaa
hicho kwa umakini mkubwa.
Walinzi hao walimuita kiongozi wao ambaye alifika na kukichunguza kifaa
hicho ambapo alipokifungua aligundua ni betri bovu la
pikipiki.Waliichukua betri hiyo na kuitupa huku wakitawanyika kurudi
kwenye maeneo yao ya ulinzi.
Eneo la Mlimani City.
Maoni ya Mhariri
Kutokana na kuwepo kwa matukio ya kigaidi yaliyotokea nchini Kenya hivi karibuni, ni vyema jeshi la polisi likawa na tahadhari katika maeneo yanayokusanya watu wengi kama Mlimani City.
UDIA SEKESEKE YA BOMU MLIMANI CITY
Kutokana na kuwepo kwa matukio ya kigaidi yaliyotokea nchini Kenya hivi karibuni, ni vyema jeshi la polisi likawa na tahadhari katika maeneo yanayokusanya watu wengi kama Mlimani City.
SHUHUDIA SEKESEKE YA BOMU MLIMANI CITY

MJUMBE Sr
Post a Comment