NITAPIKIA KUNI TU MAISHA MAGUMU,UMEME,MKAA,GAS SIVIWEZI
Mkazi wa Dar es Salaam akiwa amebeba kuni eneo la Sinza wakati akizipeleka nyumbani kwake kwa matumizi ya kupikia. Bei juu ya mkaa, umeme, mafuta ya taa na gesi, kumewalazimisha baadhi ya wakazi kutumia kuni kama nishati mbadala.
Gharama za umeme,Mafuta ya taa na gesi zinaendana na maisha ya kawaida ya Mtanzania wa hali ya chini?

Post a Comment