Basi la Kampuni ya AHIDA"S
lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya
safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - TunduruLimepata ajali
mapema asubuhi ya leo katika eneo la kijiji cha Kinyanya - Kibiti na
kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.
Ajali hiyo ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo kumkwepa
mtoto aliyekuwa anakatiza barabara.
Mara
baada ya kutokea ajali hiyo dereva aliweza kujisalimisha kituo cha
polisi cha Kibiti. Basililikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduru.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.Amatutembelee Mara kwa Mara Mtandaoni kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG Kisha Ingia Hapo Uhabarike Zaidi.
MJUMBE Sr
MJUMBE Sr
MJUMBE Sr
Post a Comment