Unknown Unknown Author
Title: PICHA:HIKI NDICHO KINA ENDELEA NYUMBANI KWA MZEE SMALL!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito. Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katika...

 Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito.
Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katikati) na Habib Mrisho 'Sumaku' (kulia) wakijadiliana jambo msibani.
 
 
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani.
 Maandalizi ya sehemu ya kukaa.
Sehemu ya kukaa waombolezaji.
 Moja ya nyumba za Mzee Small.
 Baadhi ya watoto wa marehemu, aliyesimama Abdul, aliyekaa Abdulahaman na mdogo ni Said wakitafakarii jambo.




Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Dada wa marehemu Mzee Small, Said Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na ndugu yake
 Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small
Sauda akilia kwa uchungu


(PICHA NA SHANI RAMADHAN, GLADNESS MALLYA NA GABRIEL NG'OSHA)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top