Picha ya Kwanza
Picha Nyingine
Picha Zaidi
Zaidi....
TAFADHALI USIPITWE.. SOMA HII ILI IKUSAIDIE NA UTASHANGAZWA;
Alipozaliwa Mwaka 1968 April 19 aliitwa Prince Makhosetive Dlamini, Lakini naamini unamfahamu zaidi kwa jina la "Mfalme Mswati III"... huyu alikabidhiwa Ufalme Mwaka 1986 akiwa na Miaka 18 tu na kwa Mwaka huo alivunja Rekodi ya kuwa Mfalme Mdogo zaidi Afrika, Mpaka sasa Mswati III ameshaoa rasmi wake 15 na ana Watoto 24... Lakini nia yetu si kumzungumzia sana yeye.
Nia yetu ni kumzungumzia Mfalme wa Toro - Uganda anayeitwa "Rukirabasaija Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV" alizaliwa Mwaka 1992 na Aliupata Ufalme mnamo Mwaka 1995 (yaani akiwa na Umri wa Miaka Mitatu na Nusu tu), na aliupata Ufalme huo baada ya Baba yake Kufariki... Ikumbukwe kuna wakati aliyekuwa Rais wa Uganda, Milton Obote alitupilia mbali maswala ya Kifalme lakini baada ya Yoweri Museveni kuingia Madarakani alirudisha Maswala ya Kifalme, Museveni inasemekana ni moja ya viongozi waliowahi kuonesha wazi kumpenda kijana huyu...

Lakini, hivi sasa wana 'Toro' ambapo anatokea Mfalme huyu wamesema
hawatampigia Kura Museveni kama hatowaomba msamaha baada ya Museveni
hivi karibuni kukaririwa akionesha kuchukizwa na Mfalme huyo jinsi
anavyovaa na katika Maongezi yake alitamka Neno "This young Boy.." Neno
hilo liliwakasirisha Wananchi wa Toro kwa kumuita Mfalme wao "Young
Boy".! Mpaka sasa, Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV anashikilia Rekodi ya
Kuwa Mfalme mdogo zaidi Duniani huku akiwa kwenye Kumbukumbu ya
"Guinness Book of Records".!
Nadhani unaelewa Mtu akisema Mtu fulani ni Mfalme, yaani kwa maana nyingine ni Kiongozi mwenye Mamlaka ya hadhi ya juu kwenye Jamii husika, ana Ulinzi wa kutosha ikiwemo Jeshi n.k, ana uwezo wa kutoa Amri, Maagizo Lakini pia ndiyeMtawala wa Ardhi husikana wengine humuita “LORD OF THE LAND”
#Mbeyafm Redio#
MJUMBE Sr

Post a Comment