Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu Kigodoro, ambazo tayari zimekwishapigwa marufuku na jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na nusu jioni katika eneo la shule ya msingi kisiwani ambapo Star TV imetembeelea majeruhi hao ambao mmoja tayari amekwisahruhusiwa kurudi nyumbani na mwingine akiendelea na matibabu kwenye hospitali ya Mwananyamala.
Wakiwa kwenye ngoma hiyo maarufu Jijini Dar es Salaam ya Kigodoro, eneo
la Kisiwani mwananyamala, mara gahfala polisi walivamia eneo hilo, na
kusimamisha shughuli nzima kwa madai ya kucheza wakiwa hawana nguo,
jambo ambalo ni kinyume na maadili.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wanaelezea namna wakazi hao walivyojeruhiwa.
Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa kipolisi Kinondoni Kamishna msaidizi Camillius Wambura anathibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Hali za Majeruhi hawa zinaendelea vizuri na tayari wameruhusiwa kutoka hospitalini.
Soma Zaidi...
Inasemekana kuwa wale wana Dada wa kundi la Kanga Moko wamepigwa Risas usiku wa kuamkia leo.... Walipokuwa wakicheza matarumbeta kwenye harusi. Mmoja kapigwa Risasi ya makalio, Mwingine ya paja. Wamekimbizwa hospital ya mwananyamala kupata matibabu.

Bugando yawataka wazazi kuwapeleka watoto wenye vichwa vikubwa wapate kutibiwa
WASTANI watoto wa 250 huzaliwa kila mwaka nchini na tatizo la ugonjwa
wa vichwa kujaa maji, ambapo baadhi ya wazazi na walezi wameshindwa
kutambua kuwa ugonjwa huo unatibika kutokana na uelewa mdogo kuwa tatizo
hilo kudaiwa kutibika na kutoweka baada ya kupata matibabu.
Daktari katika Kitengo cha Upasuaji wa Ubongo na Migongo, katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dk. Gerald Mayaya, amesema hayo wakati akizungumza na FikraPevu kuhusu jinsi jamii inavyojitokeza kutibu na kuwapeleka watoto kupimwa ugonjwa huo na kusema wazazi na walezi wanatakiwa kuwapeleka watoto wao kwenye hospitali zinazotoa huduma hiyo na kufanyiwa upasuji.
Hata hivyo, amesema endapo watoto watapelekwa Hospitalini mapema na kupatiwa vipimo na upasuaji wanaweza kupona kabisa na hivyo kuwataka wazazi kuwafikisha watoto wao kupata vipimo pindi wanapoona ukuaji wa vichwa usio wa kawaida ukijitokeza.
Tafiti zinaonyesha kuwa ripoti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya mwaka 2013 ilisema kuwa zaidi ya watoto 4,485 nchini wamezaliwa na vichwa vikubwa tatizo ambalo linasababishwa na kujaa maji kichwani na matundu kwenye uti wa mgongo.

Mtoto akiwa amezaliwa na kichwa kikubwa
Amesema ugonjwa huo husababishwa na maji yanayozalishwa na ubongo
kushindwa kutumika ipasavyo, kwenye sehemu zilizokusudiwa mwilini au
kuziba kwa miraja ya usambazaji wa maji hayo na kusababisha tatizo
hilo. Ameongeza kuwa inapotokea hivyo,
maji hujaa ndani ya kichwa na kupunguza sehemu za ubongo jambo ambalo
likiendelea huweza kuharibu sehemu kubwa ya ubongo wa mtoto.

Post a Comment