ANOTHER
TIME BOMB IN THE WAITING HII CINEMA ILIANZA KAMA MCHEZO MCHEZO LAKINI
KAMA UNAISOMA KWA MAKINI SASA IT IS SLOWLY TURNING UGLY TENA POLE POLE
NA HUKU WANANCHI TUKIANGALIA KWA MACHO YETU, NA TUKISIKIA KWA MASIKIO
YETU HATUJUI UKWELI WA NDANI WA TATIZO LA FLORA NA MUMEWE LAKINI KUNA
NENO MOJA KATIKA ISHU YAO YA FLORA MBASHA KUWA KIMADA WA MCHUNGAJI
GWAJIMA HUKU AKIWA BADO MKE HALALI WA MBASHA HALINA UBISHI JUU YA UKWELI
WAKE, USHAHIDI MWINGI WA MTAANI TAYARI UMESHATOLEWA
NA GWAJIMA MWENYEWE AMESHINDWA MPAKA LEO KUKANUSHA, KAMA KINACHOSEMWA
NI KWELI NA UKWELI NI KWAMBA MBASHA ANAKARIBIA KWENDA KUOZA JELA KAMA
NGUZA NA WANAWE KWA SABABU AMBAZO NI TATA!!
- SASA HAYA YOTE
YANATOKEA MBELE YA MACHO YETU NA MASIKIO YETU HII JAMII, SIJASIKIA
MWANAUME YOYOTE MWENYE NGUVU KATIKA JAMII YETU AKIJITOKEZA KUSEMA LOLOTE
ON THIS ISHU NA SISI WANAUME WENGINE WOTE TUMENYAMZA KIMYAA ILA
AKIFUNGWA MAISHA JELA SASA UTAONA MAKELELE WAKATI KUMBE KAMA NI MAKELELE
YA DHULUMA YANATAKIWA KUPIGWA SASA, USHAHIDI MWINGI WA MTAANI
UNAONYESHA KAMBA FLORA MBASHA NDIYE MCHAWI HAPA KWA SABABU PIA ALIWAHI
KUMSINGIZIA MCHUMBA WAKE WA KWANZA KUWA ANA UKIMWI, NA THE FACT KWAMBA
MDOGO WAKE ANAYEDAIWA KUBAKWA HAPA TAYARI AMEWAHI KUTENGENEZA VIDEO YA
NGONO NA MRISHO NGASSA WA YANGA NA IPO MITANDAONI NI DALILI TOSHA KWAMBA
HII KESI INA UTATANISHI SANA, SIO SIRI FLORA ANA NGUVU YA PESA KULIKO
MUMEWE NA HASA UKIZINGATIA KWAMBA ANA GWAJIMA WITH HER NA NGUVU YA PESA
NIMEIONA JUZI MBASHA ALIPOPELEKWA RUMANDE, NOW PEOPLE THIS IS ANOTHER
TIME BOMB IN THE WAITING KAMA KWELI SISI NI WAPENDA HAKI BASI WAKATI NI
HUU KUMSAIDIA MBASHA, INGAWA BINAFSI NAOMBA KUSEMA UKWELI WANGU I DON'T
LIKE BOTH OF THEM THE MAZAFANTAZAZZ I MEAN FLORA NA MUMEWE KWA SABABU
NAWAONA NI WASANII WA AJABU SANA WALIOISHI KISANII KWA MUDA MREFU SANA
KWA KUWADANGANYA MASIKINI NA KUCHUKUA HELA ZAO ZA SADAKA MPAKA MUNGU
ALIPOAMUA KUWAFICHUA USANII WAO HIVI KARIBUNI NA THIS KESI HATA MBASHA
SIAMINI KWAMBA HE IS A REAL MAN KWA SABABU ANGEKUWA HE SHOULD HAVE FIND A
SOLUTION LOONG TIME AGO KWA SABABU INAELEKEA WALIKUWA NA MATATIZO KWA
MUDA MREFU SANA LAKINI MBASHA HANA PESA SO ALIKUWA AKITEGEMEA PESA ZA
FLORA NDIO MAANA WAMEDUMU MUDA MREFU AND YES I SAY THIS KWA SABABU
HAKUNA A REAL MAN DUNIANI ANAYEWEZA KUMUONA MKE WAKE WA NDOA ANAISHI NA
GWAJIMA LAKINI BADO AKAMVUMILIA THE MAZAFANTAZZ I SAY NO WAY!! NDIO
MAANA NAWAITA WOTE WAWILI WASANII WA AJABU INFACT INGEKUWA UWEZO WANGU
NINGEWAWEKA JELA KWA HATA MWEZI MMOJA TU KWA KUDANGANYA UMMA KWAMBA NI
WATU WA MUNGU SANA THE MAZAFANTAZZ THEY ARE NOT HAWA WOTE WAWILI THEY
BELONG IN JAIL!!, LAKINI FOR THE SAKE OF THIS SUBJECT NASEMA HIVI HII
KESI HAIKO SAWA AS OF USHAHIDI WOTE WA MTAANI ULIOTOLEWA SO FAR!! NI
UAMUZI WETU WANANCHI KUMSAIDIA MBASHA AU KUNYAMAZA MPAKA AFUNGWE MAISHA
NDIO TUANZE KULIA LIA DHULUMA!!, JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!!
- LE MUTUZ
SYSTE
MJUMBE Sr
Home
»
»Unlabelled
» WAKATI MBASHA AKIWA NJE KWA DHAMANA:WILIUM MALECELA ALIMAARUFU "Le Mutuz Baharia" AMEVUNJA UKIMYA KUHUSU SAKATA LA FROLA MBASHA;AOMBA NGUVU YA UMMA IMUNUSURU MBASHA!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment