Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA KATIKA PICHA:MGOMO WA DALA DALA MBEYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni usafiri Ulio kuwa Mbadala kwa Wasafiri Leo jijini Mbeya Pichani Juu Abiria wakiwa Ndani ya Usafiri Mbadala ili kuendelea na ...
Pichani ni usafiri Ulio kuwa Mbadala kwa Wasafiri Leo jijini Mbeya
Pichani Juu Abiria wakiwa Ndani ya Usafiri Mbadala ili kuendelea na Shughuli zao za kila siku.
Taswira ya Stend ya kabwe leo Baada ya Mgomo wa Madereva wa Daladala  jijini Mbeya.
Pichani juu ni Asikari wa Patrol wakiendelea kuhakikisha hali ya Usalama ina Imarishwa vema Jijini Mbeya.

Picha Zote Mali ya Mbeya & World News 

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top