AJALI
Mh. Mwigulu Nchemba, akishiriki katika kuwanasua majeruhi wa ajali iliyotokea jana majira ya mchana maeneo ya Kibaigwa ikihusisha gari aina ya RAV4 iliyokuwa ikitokea Morogoro kwenda Dodoma. Sababu ya ajali imetajwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva wa gari hilo aina ya RAV4 ambao ulipelekea gari Kumshinda na hatimaye kupinduka.
Mwigulu Nchemba alilazimika kusitisha safari yake ili kushiriki katika zoezi hilo la uokoaji.
MJUMBE Sr

Post a Comment