HONGERA CHIHAYA! HONGERA SONGO! HONGERA ULIYE WAHI KUWA MWALIMU WA ILEJE;KWA KUFIKA SALAMA NCHI ZA WENYEWE!
Richard Ngaya,Akiwa Ndani ya Uzi wa Taifa lake Tayari kwa Kuanza Mhula wake wa Masomo ya Uzamivu,Marekani
Picha ya Hivi Karibuni alipo kuwa na Familia yake Morogoro,Tanzania Siku Chache Kabla ya Kuanza Safari
Haya Ndiyo Maneno Aliyo Yaweka Kwenye Picha Yake " Back to School. — in Blacksburg, VA, United States. "
Nime ona Niweke Hapa Ujumbe Huu Kama Zawadi yako Pia!
Na Elastic Mbella
August 15
JUST ZOOM IT NA UWE BALOZI MWEMA:Naam Kuna Wakati Unapo Kutana Hata Na Kidoti tu Ambacho Awali Hakikuwepo Awali Mwilini Mwako ita Kulazimu Haraka UMWONE DAKTARI WAKO! Nime Shuhudia Wengi ambao Mkanda wa Jeshi na Kansa Ime Wa Ua Awali Waliona Kama Kidoti au Kiupele tu Mwilini Mwao,Wala Hawakudhani ni Ishara ya Kutishia Uhai Wao! Wengine Meli Zao Zili anza Kuvuja kwa Kupenyeza Maji kupitia Tundu Dogo,Lakini Safari yao Ili Ishia Kua Msiba,Kwa Sababu Walionesha Dharau! Jaribu Ku ZOOM Unacho Kiona,Isije Ikawa ni Kivuli tu ya ambacho Haukioni! Zingatio:Lipokee Giza Kwa Furaha na Hata Ukipenda ULALE,USINZIE na UOTE NJOZI NJEMA HASWAA Lakini Kumbuka Jua Halizami! Jua Lipo Pale Tangu Ilipo Umbwa Dunia! Nimalize Kwa Rai Yangu Kwa Ndugu Marafiki;KUMBUKA:Unapo Toka Nje familia yako na Kukutana na Familia Nyingine Umebeba Jukumu Zito la kuwakirisha Familia yako! Vile vile Unapo Toka nje ya kijiji,Kata,Wilaya Hata Mkoa Utawakilisha,Kadhalika Nje ya Nchi na Bara Pia Unakua Umebeba Dhamana ya UBALOZI wa Nchi yako na Bara lako! Sijajua UKITOKA NJE ya ULIMWENGU Una Mwakilisha Nani,Japo Gagarin wa Urus na Armstron Two Walipo Tua Mwezini kwa Mara ya kwanza;Wali Wakirisha Bendera za Mataifa yao kwanza! //Wengi Hawajui Hili.Maana Utakapo Tenda Jema au Baya Waungwana Watakuuliza UMETOKEA WAPI? Ili Wa Connect The dot! HITIMA:UMETOKEA WAPI? #MJUMBE
TIMU NZIMA YA MJUMBE BLOG INA TOA PONGEZI ZA DHATI Kwa Kuamua Kujiendeleza KIELIMU Zaidi!
UTAMBULISHO:Richard Ngaya Ni Mwanafamilia wa #MJUMBE! Na Hapa Ndipo Sehemu ya Kupongezana na Kuweka Kumbukumbu Pichani Tumeona Tufanye Hivyo Kama Kutambua Bidii na Jitihada Binafsi zilizo Mfikisha Hapa Alipo Leo.
Maelezo Zaidi Kuhusu yeye anayo Mwenyewe.
MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE ILI SIKU MOJA NA WEWE UJE UTIMIZE NDOTO YAKO!

.jpg)
Post a Comment