MJI GHALI ZAIDI UPO BARA LA AFRIKA! BOFYA UUJUE HAPA!
1. Luanda
Mji mkuu wa Angola, Luanda, sio tu ghali zaidi barani Afrika, bali duniani kote pia. Angola ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika, na tangu mwaka 2002, wafanyakazi wa kimataifa wamemiminika nchini humo. Nyumba nzuri zinakodishwa kwa bei ya juu sana. Malipo kati ya dola 10,000 na 35,000 kwa mwezi sio kitu cha kushangaza katika mji huo.
Asante DW Kiswahili

Post a Comment