KUMRADHI HIZI PICHA ZINA TISHA SANA:INASIKITISHA SANA,ACHOMWA KISU HADI KIFO KWA DENI LA SH.2000 TU!
Pichani ni Marehemu Samwel Yengayenga
Picha Mwili wa Mpiga debe huyo baada ya kifo chake
Tuiko hilo la Kinyama Limetokea jana mida ya saa 6:55 Baada ya Yengayenga na Mtuhumiwa kurushiana lugha ya matusi na kisha kupigana AkithibitishA KUTOKEA KWA Tukio hilo kamanfda wa Polisi Mkoa wa Irinnga Ramadhani Mungi alisema Mtuhumiwa wa Mauaji hayo ni Festo Ruben Makala Mwenye miaka 26,muosha magari mkazi wa mji wa Iringa na alikamatwa mara tu baada ya kufanya tukio hilo.
Mungi alisema Yange yange,Makala na Mtu mwingine ambaye Hautajwa waliosha Gri la Kimotco linalo fanya Safari zake Iringa-Arusha na malipo yak yalikuwa ni Sh.15000 hata hivyo hawakulipwa feda hizo lakini siku iliyo fuata Yengayenga na Kjana huyo mwingine na kugawana Sh 5000 kila mmoja huku Marehemu akiahidi kutunza 5000 ya Mwenzake!
Marehemu alimlipa Mdai wake 3000 na Kuahidi kummaridhia 2000 Siku itakayo fuata Kitendo Hicho ina daiwa kilimuudhi Yenga yenga ambaye aliamua kunyang'anya simu ya makala,Makala alichukizwa na kuamua kuanzisha ugomvi Ulio pelekea kifo cha Mdai wake.
Post a Comment