Unknown Unknown Author
Title: PICHA NA MATUKIO:USHAHIDI PICHANI "KWANINI ZIWA NYASA NI LETU SOTE?" SAFARI YA MASAA SABA KAMA UKITOKEA IRINGA KUELEKEA MANDA,LILIKO ZIWA NYASA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha ni Ubao maalum kwa Wana nchi Ulio Buniwa na Daraja Letu ili Kukusanya Maoni na Mawazo ya Wana nchi Kama Ulivyo kutwa na Mdau wa MJUMB...
Picha ni Ubao maalum kwa Wana nchi Ulio Buniwa na Daraja Letu ili Kukusanya Maoni na Mawazo ya Wana nchi Kama Ulivyo kutwa na Mdau wa MJUMBE BLOG Siku Alipo Fika Makao makuu ya Wilaya!
Picha Hapa ni Bara bara iendayo Kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi za TRA Ludewa Ikifanyiwa Ukarabati Kama Walivyokutwa na Kamera ya MJUMBE BLOG.
Picha Uelekeo Yalipo Makaa ya Mawe ya Mchuchuma,Ludewa Manda Na Hapa Ndipo Mwisho wa Marekebisho ya Ukarabati wa Barabara inayo elekea Manda!
Picha Walee wana Msubiri mgeni wao akitokea Njombe Huku ni Mkoma Ng'ombe eti
Pichani Hawa ni Makamanda Wakiwa wana Tokomea Ziwani,Hapa ni ziwa Nyasa na Giza Totoro Umri wao yapata Miaka Kama Kumi na Mbili na Kumi na Nne tu! Wana Sema kuwa wana elekea Kijiji cha Pili kutokea Manda,Nsungu Kuelekea Huko! Itaendelea....... Asante ya Picha na maelezo Kwa Kamera ya MJUMBE BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top