Unknown Unknown Author
Title: MAKUMBUSHO YA MKWAWA,KALENGA NI KIELELEZO KIZURI CHA DHANA YA ULINZI NA USALAMA WA TAIFA LETU,TANGU ENZI ZA MABABU ZETU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pihani ni Miongoni mwa Washika Kamera wa MJUMBE BLOG Mtandaoni Alipo Tembelea Makumbusho ya Mkwawa,Karenga Iringa Pichani anaonekana Amesh...
Pihani ni Miongoni mwa Washika Kamera wa MJUMBE BLOG Mtandaoni Alipo Tembelea Makumbusho ya Mkwawa,Karenga Iringa Pichani anaonekana Ameshika Moja yaSilaha za Jadi ambazo zipo Katika Makumbusho hayo,Lakini Pia Nyuma au Pembeni yake Kidogo ni Bunduki ambayo moja Aliitoa Kopi Mkwawa Kutoka kwa Wajerumani na Nyingine ni Orijino. Haya ni Tunu na Kumbukumbu Mhimu za Taifa letu pia ni Ishara ya Kuhimiza Ulinzi na Usalama wa Nchi yetu kwa Kila Raia. Kama Ukipata Muda wa Kufika IRINGA MJINI,Jitahidi Ufike Kalenga Pia,Ujifuze Mengi Zaidi Kuhusu Historia ya Mkwawa,Wahehe na Familia au Ukoo wake! Zaidi ya Yote utajifunza Historia Kwa Kuona Baadhi ya Dhana na Viongozi na Maeneo Muhimu Yaliyo tumika na Chifu Mkwawa enzi za Utawala wake. Picha Na Maelezo Na MJUMBE WETU

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top