TASWIRA PICHA KUTOKA VIJIJINI! MWAKA 2014
Picha ni Moja ya Mikoa Maarufu Nchini Tanzania Kama Ilivyo Kutwa na Mshika Kamera Wetu wa MJUMBE BLOG.
Mama Akiwa Jikoni na Mwanae,Anaendelea na Upishi.Maisha Yanaendelea
Naam;
Sisi Tuna Amini Picha Halisi Ina weza Ikajieleza Zaidi Kuliko Tunge Subiri aje MWANDISHI WA HABARI Aandike Hata Maneno Milioni Moja Kuhusiana na Picha Hii Hapa Juu.
MJUMBE BLOG Tumedhamiria Kuhifadhi Picha Hizi Mtandaoni Kwa Manufaa ya Kizazi Kijacho na Kwa Manufaa ya Kuienzi Histotria Yetu.Na Sio Vinginevyo.
Hatukuja Kupora Kazi na Taaluma Za Watu Hapa.
Post a Comment